Vipimo vya mfululizo wa P
Inafaa kwa shughuli za mijini
Nguvu isiyobadilika
Mfululizo wa P hustawi kwenye mitaa minene na yenye msongamano wa magari ya mijini na kwenye maeneo yenye shughuli nyingi za ujenzi. Lori zetu zenye nguvu na zisizotumia mafuta zina umaarufu mwingi. Safu nzim ya ini za lita 7, 9 na 13 za Scania zina teknolojia ya SCR pekee, na mfumo wa kisasa wa Twin-SCR sasa umetambulishwa kwenye safu mpya ya injini ya Scania Super ya lita 13, ili kupunguza athari za mazingira na matumizi ya mafuta bila kuathiriwa nguvu. Kuweka gia ni rahisi na haraka zaidi kuliko awali.
Lita 7
Injini za Scania za lita 7 ni nyepesi kuliko safu ya lita 9, na kuifanya kuwa bora kwa mazingira ya mijini. Safu hutoa utendakazi bora na uwezo wa kuendesha gari pamoja na uokoaji wa mafuta wa hadi asilimia 10.
Injini zetu za lita 7, sita-silinda zina matokeo ya nguvu kutoka 220 hadi 280 hp.
Lita 9
Injini yetu inayotumia lita 9 inapatikana na hp ya 280, 320, 340 na 360 kulingana na chaguo lako la mafuta. Kando na hayo, inakupunguzia zaidi uzito ikilinganishwa na injini ya lita 13, hali ambayo inakuwezesha uongeze mizigo kiasi kwenye shehena yako bila kuathiri utendaji wako.
Lita 13
Aina zote za injini za Scania za Euro 6 zimeidhinishwa kutumia hadi 100% ya HVO. Ikiwa imetengenezwa kulingana na falsafa ya idadi ya chini ya mizunguko ya chapa ya Scania, Injini bunifu ya Super ya lita 13 ya Scania inakuokolea zaidi matumizi ya mafuta na kukupa utendaji bora zaidi wa injini.
Vitengo vyetu vya lita 13 za silinda sita vina matokeo ya nguvu ya 370, 410, 450 na 500 hp na teknolojia ya SCR pekee.
Lita-13 SUPER
Ikiwa una uwezo wa kiwango cha juu zaidi cha 8% wa kuokoa mafuta ya mfumo wa uendeshaji, pamoja na usambazaji wa nishati, nguvu na uthabiti ulioboreshwa, Injini bunifu ya Super ya lita 13 ya Scania haihakikishi tu utendaji bora na kuwa mashine inatumika kwa muda mrefu, lakini pia iko tayari kutimiza masharti makali zaidi ya kudhibiti utoaji wa gesi ya kaboni kwa sasa na siku za usoni.
Injini zetu za Super 13-lita za silinda sita zina viwango vya matokeo vya 420, 460 na 500 hp.
Tafuta nguvu yako
Scania hutoa aina mbalimbali za injini zinazooana na mafuta mbadala, kwa hivyo unaweza kupata nguvu yako kamili ya kufanya kazi ili kukamilisha kazi. Hii ni pamoja na injini mpya ya Scania Super 13-lita ambayo inachangia kuokoa mafuta kwa asilimia 8%.
- Euro 6
- Euro 5
- Euro 4
- Euro 3
| Nguvu inayotolewa | Toki | Mafuta | Teknolojia ya uchafuzi | PTO ya injini |
|---|---|---|---|---|
| 500 Hp | 2650 Nm | Dizeli/HVO/FAME | SCR Mbili | Hadi 1000 Nm |
| 460 Hp | 2500 Nm | Dizeli/HVO/FAME | SCR Mbili | Hadi 1000 Nm |
| 420 Hp | 2300 Nm | Dizeli/HVO | SCR Mbili | Hadi 1000 Nm |
| Nguvu inayotolewa | Toki | Mafuta | Teknolojia ya uchafuzi | PTO ya injini |
|---|---|---|---|---|
| 500 Hp | 2550 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
| 450 Hp | 2350 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
| 410 Hp | 2150 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
| 410 Hp | 2150 Nm | ethani | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
| 370 Hp | 1900 Nm | Dizeli/HVO | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
| Nguvu inayotolewa | Toki | Mafuta | Teknolojia ya uchafuzi | PTO ya injini |
|---|---|---|---|---|
| 360 Hp | 1700 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
| 340 Hp | 1600 Nm | GESI | Kurudi tena kwa gesi ya ekzosi kwenye injini (EGR) | 600 Nm |
| 320 Hp | 1600 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
| 280 Hp | 1400 Nm | Dizeli/HVO | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
| 280 Hp | 1350 Nm | GESI | Kurudi tena kwa gesi ya ekzosi kwenye injini (EGR) | 600 Nm |
| Nguvu inayotolewa | Toki | Mafuta | Teknolojia ya uchafuzi | PTO ya injini |
|---|---|---|---|---|
| 280 Hp | 1200 Nm | Dizeli/HVO | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
| 250 Hp | 1100 Nm | Dizeli/HVO | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
| 220 Hp | 1000 Nm | Dizeli/HVO | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
Chaguzi za giaboksi
Aina mbalimbali za giaboksi zetu zinaweza kubadilishwa ili kutumika kwenye aina zote za shughuli za usafiri ili kutoa usambazaji kamili wa nishati kwenye mfumo wote wa uendeshaji wa gari lako la Scania. Zikiwa zinatoa hali iliyoboreshwa ya uendeshaji, giaboksi za Scania zinaweza kuwekwa na Kidhibiti Mwendo cha Scania cha utendaji wa juu.
Mfumo wa Kubadilidha Gia Kiotomatiki wa Scania wa G25 na G33 unatoa utendaji wa kiwango cha juu zaidi wa giaboksi. Pamoja na uthabiti wa jumla ulioboreshwa, Mfumo wa Kubadilisha Gia Kiotomatiki wa Scania unabaki kuwa chaguo bora zaidi kwa shughuli za kudumu na za kuokoa mafuta za usafiri.
- Upeo- badilisha giaboksi
- Upeo- kipasua giaboksi
- Giaboksi ya Opticruise
Gia 8
Ubora wa giaboksi hii unapatikana katika urahisi wake. Zikiwa thabiti na imara, hakuna uwiano wa gia na utendakazi bora na laini unafanya iwe rahisi kubadilisha gia. Chaguo zinajumuisha Mfumo wa Kubadilisha Gia Kiotomatiki wa Scania, Kidhibiti Mwendo cha Scania na aina mahususi za mifumo ya usambazaji wa nishati.
Gia 8+1
Giaboksi hii inatoa manufaa sawa, pamoja na uwiano wa ziada wa gia. Kulingana na giaboksi ya kasi 4, pamoja na mipini ya kuingiza na kutoa nishati iliyolinganishwa, nguvu zake haziwezi kulinganishwa na nguvu za kiwango cha juu za uzungushaji za injini yoyote ya ndani ya Scania. Chaguo zinajumuisha Kidhibiti Mwendo cha Scania na aina mahususi za mifumo ya usambazaji wa nishati.
Gia za ekseli ya nyuma
Masafa ya ekseli ya nyuma ya Scania hutoa muundo thabiti na ulioboreshwa kwa uzito na aina mbalimbali za gia na uwiano, ili uweze kupata suluhu mwafaka kwa uendeshaji wako. Gia zote huja na kufuli vya difrensha.
Ekseli ya kuendesha hebu yenye kifaa kimoja cha kupunguza kasi
Ekseli za kuendesha hebu zenye kifaa kimoja cha kupunguza kasi zinapatikana kwa ajili ya shughuli ambazo uwezo wa kuwashwa, nafasi kati ya fremu ya gari na barabara na kiwango cha juu zaidi cha uzito wa gari unaoruhusiwa vinafaa. Hudhibiti kiwango cha juu zaidi cha uzito wa gari kinachoruhusiwa cha hadi tani 80 na uwiano wa gia wa kuanzia 3.80 hadi 7.18.
Ekseli moja ya kuendesha yenye kifaa kimoja cha kupunguza kasi
Gia zetu za kupunguka mara moja zina uchangamano wa chini na ufanisi wa juu na zinaweza kutawala uzani wa jumla wa gari na uzito hadi tani 78 na uwiano mpana wa gia kutoka 1.95 hadi 5.57.
EKSELI MBILI ZA KUENDESHA ZENYE KIFAA KIMOJA CHA KUPUNGUZA KASI
Ekseli mbili za kuendesha zenye kifaa kimoja cha kupunguza kasi zinatolewa kwa shughuli ambazo unahitaji kuvuta mizigo na matumizi ya kiwango cha chini cha mafuta. Gia ya kushuka ya RB662 + R660 hudhibiti kiwango cha juu zaidi cha uzito wa gari unaoruhusiwa wa hadi tani 80 na uwiano wa gia wa kuanzia 2.92 hadi 4.88.
Ekseli mbili za kuendesha hebu zenye kifaa kimoja cha kupunguza kasi
Aina zetu nyingi za ekseli mbili za kuendesha hebu zenye kifaa kimoja cha kupunguza kasi ni thabiti na za kudumu na zinatoa huduma bora zaidi ya kuwashwa kwa injini na nafasi kubwa kati ya fremu ya gari na barabara. Hudhibiti kiwango cha juu sana cha uzito wa gari unaoruhusiwa wa hadi tani 210 na uwiano wa gia wa kuanzia 3.52 hadi 7.63.
Utendaji ulioboreshwa wa mabadiliko ya kuweka gia
Pumziko la layshaft huboresha utendaji wa kuweka gia kwa kukata muda unaohitajika ili kubadilisha gia. Pumziko la layshaft la kuweka gia ni huru kutokana na injini.
Kupunguzwa kwa muda wa ushiriki
Pumziko la layshaft hupunguza PTO na wakati wa ushiriki wa gia ya nyuma/yakutambaa na huongeza starehe ya kushiriki/uimara
Injini sikivu
Faida moja kubwa ya pumziko la layshift ni kwamba inafanya uwezekano wa kuweka injini sikivu.
Mpangilio wa ekseli
Ekseli ya mbele, nyuma, isiyozunguka na inayozunguka – Scania inaweza kutimiza mahitaji ya shughuli yoyote. Mfululizo wa P unaweza kuunganishwa na anuwai ya mipangilio ya chesisi yenye urefu tofauti.
4x2
Kimo cha chesisi
Chini zaidi, chini, kawaida, juu
4x4
Kimo cha chesisi
High
6x2
Kimo cha chesisi
Kawaida
6x2/2
Kimo cha chesisi
Kawaida
6x2 ya kusukuma
6x2/4
Kimo cha chesisi
Kawaida, fupi
6x2 inaendeshwa na ekseli mbili
6x4
Kimo cha chesisi
Kawaida, refu
6x6
Kimo cha chesisi
High
4x2
Kimo cha chesisi
Chini, kawaida, juu
4x4
Kimo cha chesisi
High
6x2
Kimo cha chesisi
Fupi, kawaida
6x2/2
Kimo cha chesisi
Kawaida
6x2 ya kusukuma
6x2/4
Kimo cha chesisi
Kawaida
6x2 inaendeshwa na ekseli mbili
6x2*4
Kimo cha chesisi
Fupi, kawaida
6x4
Kimo cha chesisi
Kawaida, refu
6x6
Kimo cha chesisi
High
8x2
Kimo cha chesisi
Kawaida
8x2*6
Kimo cha chesisi
Fupi, kawaida
8x2 inaendeshwa na ekseli ya nyuma
8x2/4
Kimo cha chesisi
Kawaida
8x2 inaendeshwa na ekseli mbili
8x4
Kimo cha chesisi
Kawaida, refu
8x4*4
Kimo cha chesisi
Kawaida
8x4 inaendeshwa na ekseli ya nyuma
10x4*6
Kimo cha chesisi
Kawaida
10x4 inaendeshwa na ekseli ya nyuma
Wasiliana na muuzaji wako
Tafadhali wasiliana nasi ikiwa una maswali yoyote kuhusu bidhaa au huduma zetu au shughuli nyingine zinazotekelezwa katika kampuni ya Scania.