Vipimo kamili vya Crewcab
Inafaa kwa kusudi
Nguvu ya busara
Scania inachukua hatua kuu katika kutoa lori zinazobadilishwa na wateja kwa uchumi bora zaidi wa uendeshaji. Scania CrewCab inaweza kuagizwa na injini ya lita 7, 9, 13 au Super 13, na inawezekana kuchanganya na aina mbalimbali za giaboksi, ikiwa ni pamoja na Scania Opticruise au gia ya kiotomatiki.
Kizazi hiki cha Scania CrewCab kinajengwa juu ya urithi kutoka kwa CrewCab ya zamani lakini inafaa zaidi kwa madhumuni yake - kwa ufikiaji rahisi wa eneo la wafanyakazi, starehe iliyoboreshwa na chaguzi rahisi za kuketi.
Lita 7
Injini za lita 7 ni mpya kwa familia ya injini ya Scania na ni nyepesi kuliko safu ya lita 9, na kuzifanya kuwa bora kwa mazingira ya mijini. Safu hutoa utendakazi bora na uwezo wa kuendesha gari pamoja na uokoaji wa mafuta wa hadi asilimia 10.
Injini zetu za lita 7, sita-silinda zina matokeo ya nguvu kutoka 220 hadi 280 hp.
Lita 9
Injini yetu inayotumia lita 9 inapatikana na hp ya 280, 320, 340 na 360 kulingana na chaguo lako la mafuta. Kando na hayo, inakupunguzia zaidi uzito ikilinganishwa na injini ya lita 13, hali ambayo inakuwezesha uongeze mizigo kiasi kwenye shehena yako bila kuathiri utendaji wako.
Lita 13
Aina zote za injini za Scania za Euro 6 zimeidhinishwa kutumia hadi 100% ya HVO. Ikiwa imetengenezwa kulingana na falsafa ya idadi ya chini ya mizunguko ya chapa ya Scania, Injini bunifu ya Super ya lita 13 ya Scania inakuokolea zaidi matumizi ya mafuta na kukupa utendaji bora zaidi wa injini.
Vitengo vyetu vya lita 13 za silinda sita vina matokeo ya nguvu ya 370, 410, 450 na 500 hp kwa teknolojia ya SCR.
Super 13-lita
Ikiwa una uwezo wa kiwango cha juu zaidi cha 8% wa kuokoa mafuta ya mfumo wa uendeshaji, pamoja na usambazaji wa nishati, nguvu na uthabiti ulioboreshwa, Injini bunifu ya Super ya lita 13 ya Scania haihakikishi tu utendaji bora na kuwa mashine inatumika kwa muda mrefu, lakini pia iko tayari kutimiza masharti makali zaidi ya kudhibiti utoaji wa gesi ya kaboni kwa sasa na siku za usoni.
Super 13-lita-silinda sita zetu zina viwango vya matokeo vya 420, 460, 500 na 560 hp.
Imechochewa na mageuzi
Injini za magari ya Scania zinajulikana kwa matumizi bora ya mafuta. Injini bunifu ya Super ya lita 13 ya Scania inaboresha zaidi sifa hizo. Kwa utendaji wa injini ulioboreshwa na udhibiti bora zaidi wa utoaji wa gesi ya kaboni kupitia mfumo wa Twin-SCR wa Scania, injini bunifu ya Super ya lita 13 ya Scania inaweka kiwango kipya cha sekta cha ubora wa usambazaji wa nishati ya breki. Hali hii inachangia kiwango cha juu zaidi cha 8% cha kuokoa mafuta ya mfumo wa uendeshaji.
UDHIBITI MARA MBILI WA UTOAJI WA GESI YA KABONI
Mfumo bora zaidi wa Twin-SCR wa Scania, wenye usambazaji mara mbili wa AdBlue, huhakikisha kiwango cha juu cha kuendelea kupunguza utoaji wa gesi ya kaboni katika kazi mbalimbali na uko tayari kutimiza hata sheria kali zaidi za utoaji wa gesi ya kaboni – kwa sasa na siku za usoni.
UTENDAJI WA HALI YA JUU
Mipini miwili yenye kemu iliyowekwa juu ya silinda za ndani ya injini, imewekwa ili kuboresha ubadilishanaji wa gesi na kutoa utendaji bora zaidi. Pamoja na maboresho makubwa ya utendaji wa injini ya mwako wa ndani, ulainishaji na upozaji na utendaji mwingine wa chaja kuu, injini bunifu ya Super ya lita 13 ya Scania inaweka viwango vipya zaidi vya ubora wa usambazaji wa nishati ya breki.
MFUMO THABITI WA BREKI
Kupitia mfumo wa breki wa ziada wa kuachilia mbano, injini bunifu ya Super ya lita 13 ya Scania inasababisha utendaji wa kiwango cha juu, uwezo wa mfumo wa ziada wa breki wa hadi 350 kW – hatua ambayo inahakikisha uendeshaji bora na salama zaidi katika mandhari magumu.
Tafuta nguvu yako
Scania hutoa aina mbalimbali za injini zinazooana na mafuta mbadala, kwa hivyo unaweza kupata nguvu yako kamili ya kufanya kazi ili kukamilisha kazi. Hii ni pamoja na injini mpya ya Scania Super 13-lita ambayo inachangia kuokoa mafuta kwa asilimia 8%.
- Euro 6
- Euro 5
- Euro 4
- Euro 3
Nguvu inayotolewa | Toki | Mafuta | Teknolojia ya uchafuzi | PTO ya injini |
---|---|---|---|---|
500 Hp | 2650 Nm | Dizeli/HVO/FAME | SCR Mbili | Hadi 1000 Nm |
460 Hp | 2500 Nm | Dizeli/HVO/FAME | SCR Mbili | Hadi 1000 Nm |
420 Hp | 2300 Nm | Dizeli/HVO | SCR Mbili | Hadi 1000 Nm |
Nguvu inayotolewa | Toki | Mafuta | Teknolojia ya uchafuzi | PTO ya injini |
---|---|---|---|---|
500 Hp | 2550 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
450 Hp | 2350 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
410 Hp | 2150 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
410 Hp | 2150 Nm | ethani | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
370 Hp | 1900 Nm | Dizeli/HVO | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
Nguvu inayotolewa | Toki | Mafuta | Teknolojia ya uchafuzi | PTO ya injini |
---|---|---|---|---|
360 Hp | 1700 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
340 Hp | 1600 Nm | GESI | Kurudi tena kwa gesi ya ekzosi kwenye injini (EGR) | 600 Nm |
320 Hp | 1600 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
280 Hp | 1400 Nm | Dizeli/HVO | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
280 Hp | 1350 Nm | GESI | Kurudi tena kwa gesi ya ekzosi kwenye injini (EGR) | 600 Nm |
Nguvu inayotolewa | Toki | Mafuta | Teknolojia ya uchafuzi | PTO ya injini |
---|---|---|---|---|
280 Hp | 1200 Nm | Dizeli/HVO | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
250 Hp | 1100 Nm | Dizeli/HVO | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
220 Hp | 1000 Nm | Dizeli/HVO | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
Nguvu inayotolewa | Toki | Mafuta | Teknolojia ya uchafuzi | PTO ya injini |
---|---|---|---|---|
450 Hp | 2350 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
440 Hp | 2300 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
410 Hp | 2150 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
380 Hp | 1975 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
Nguvu inayotolewa | Toki | Mafuta | Teknolojia ya uchafuzi | PTO ya injini |
---|---|---|---|---|
360 Hp | 1700 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
320 Hp | 1600 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
280 Hp | 1400 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
Nguvu inayotolewa | Toki | Mafuta | Teknolojia ya uchafuzi | PTO ya injini |
---|---|---|---|---|
280 Hp | 1200 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
250 Hp | 1100 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
220 Hp | 1000 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
Nguvu inayotolewa | Toki | Mafuta | Teknolojia ya uchafuzi | PTO ya injini |
---|---|---|---|---|
450 Hp | 2350 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
440 Hp | 2300 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
410 Hp | 2150 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
380 Hp | 1975 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
Nguvu inayotolewa | Toki | Mafuta | Teknolojia ya uchafuzi | PTO ya injini |
---|---|---|---|---|
360 Hp | 1700 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
320 Hp | 1600 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
280 Hp | 1400 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Selective Catalytic Reduction (SCR) | 600 Nm |
Nguvu inayotolewa | Toki | Mafuta | Teknolojia ya uchafuzi | PTO ya injini |
---|---|---|---|---|
460 Hp | 2250 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Bila SCR | 600 Nm |
410 Hp | 2050 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Bila SCR |
600 Nm |
360 Hp | 1800 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Bila SCR |
600 Nm |
Nguvu inayotolewa | Toki | Mafuta | Teknolojia ya uchafuzi | PTO ya injini |
---|---|---|---|---|
310 Hp | 1550 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Bila SCR |
600 Nm |
250 Hp | 1250 Nm | Dizeli/HVO/Biodizeli | Bila SCR |
600 Nm |
Chaguzi za giaboksi
Aina mbalimbali za giaboksi zetu zinaweza kubadilishwa ili kutumika kwenye aina zote za shughuli za usafiri ili kutoa usambazaji kamili wa nishati kwenye mfumo wote wa uendeshaji wa gari lako la Scania. Zikiwa zinatoa hali iliyoboreshwa ya uendeshaji, giaboksi za Scania zinaweza kuwekwa na Kidhibiti Mwendo cha Scania cha utendaji wa juu.
Mfumo wa Kubadilidha Gia Kiotomatiki wa Scania wa G25 na G33 unatoa utendaji wa kiwango cha juu zaidi wa giaboksi. Pamoja na uthabiti wa jumla ulioboreshwa, Mfumo wa Kubadilisha Gia Kiotomatiki wa Scania unabaki kuwa chaguo bora zaidi kwa shughuli za kudumu na za kuokoa mafuta za usafiri.
- Upeo- badilisha giaboksi
- Upeo- kipasua giaboksi
- Giaboksi ya Opticruise
Gia 8
Ubora wa giaboksi hii unapatikana katika urahisi wake. Zikiwa thabiti na imara, hakuna uwiano wa gia na utendakazi bora na laini unafanya iwe rahisi kubadilisha gia. Chaguo zinajumuisha Mfumo wa Kubadilisha Gia Kiotomatiki wa Scania, Kidhibiti Mwendo cha Scania na aina mahususi za mifumo ya usambazaji wa nishati.
Gia 8+1
Giaboksi hii inatoa manufaa sawa, pamoja na uwiano wa ziada wa gia. Kulingana na giaboksi ya kasi 4, pamoja na mipini ya kuingiza na kutoa nishati iliyolinganishwa, nguvu zake haziwezi kulinganishwa na nguvu za kiwango cha juu za uzungushaji za injini yoyote ya ndani ya Scania. Chaguo zinajumuisha Kidhibiti Mwendo cha Scania na aina mahususi za mifumo ya usambazaji wa nishati.
Gia 12
Giaboksi hii imebuniwa ili kukabiliana na mandhari magumu zaidi, hali ambayo inafanya iwe chaguo bora zaidi kwa safari ya masafa marefu zaidi. Uwiano wake wa karibu zaidi wa gia unaunganisha wepesi na urahisi wa uendeshaji na gharama ya chini zaidi ya matumizi.
Gia 12+2
Kwa shughuli ambazo zinahitaji kasi ya chini zaidi ya uendeshaji, giaboksi hii ina gia mbili ziada. Ikiwa imebuniwa ili kupunguza gharama za matumizi, imethibitishwa kuwa fanisi zaidi kwa usafiri wa masafa ya mbali na ya karibu, pamoja na kwa kazi nzito za ujenzi. Gia za kupunguza kasi ya injini zinatoa uwezo wa juu wa nguvu za kuzungusha, pamoja na kupunguza kasi ya mizunguko ya chini na ya kupunguza gharama. Mfumo wa Kubadilisha Gia Kiotomatiki wa Scania na Kidhibiti Mwendo cha Scania, pamoja na aina mahususi za mifumo ya usambazaji wa nishati, inapatikana kwa ajili ya giaboksi zote za kugawanya gia.
Mfumo wa giaboksi ya Mfumo wa Kubadilisha Gia Kiotomatiki wa Scania, ambao unapatikana katika hatua mbili za utendaji za G25 na G33, unatoa huduma iliyoboreshwa na ya haraka ya ubadilishaji wa gia pamoja na starehe bora zaidi na punguzo la matumizi ya mafuta la asilimia moja.
Kidhibiti cha klachi cha kiotomatiki cha Mfumo wa Kubadilisha Gia Kiotomatiki, ambacho kinaruhusu usahihi wa uendeshaji na utendaji bora wa gia, kinasaidiwa na mfumo mpana na bora zaidi wa gia 14 na teknolojia mpya kama vile kiwango cha oili kinachobadilika na kifaa cha kunyunyiza oili ili kuboresha ulainishaji wa gia na kupunguza hasara za ndani.
Mfumo pia una muundo mpya na thabiti wa kijiometri, pamoja na kifuniko chepesi cha aluminiamu, hali ambayo inapunguza zaidi viwango vya sauti na uzito wa kifaa wa hadi kilogramu 75. Pia, Mfumo wa Kubadilisha Gia Kiotomatiki unasaidia gari kutumika kwa muda mrefu na mara chache za kufanyiwa matengenezo kupitia vipindi virefu vilivyowekwa kabla ya ubadilishaji wa oili. Hatua hizi zote ni za kuhakikisha kuwa gharama yako ya jumla ya matumizi imepunguzwa.
Uwezo wa kuendesha
Uwezo bora wa kuendeshwa unapatikana kupitia gia nyingi zilizopo, ambazo zinajumuisha gia kuu na gia ya kupunguza kasi, ambazo zinalingana na falsafa ya kampuni ya Scania ya injini ya mizunguko ya chini.
Kurudi nyuma
Badala ya kutumia gia ya kurudi nyuma, gia mbili zilizounganishwa hutumika kwa ajili ya kurudisha nyuma gari. Huduma hii inawezesha kuwa na gia nane za kurudi nyuma kwa kasi ya hadi 30 km/h. (Hii ni muhimu wakati ambapo, kwa mfano, malori ya kumwaga mchanga yanahitaji kurudi nyuma kwa masafa marefu.)
Kipunguza mwendo
Kidhibiti mwendo cha magari ya G33 pia kimesasishwa na kuboreshwa na sasa kinaweza kutoa nishati ya kuzungusha ya kiwango cha 4700 Nm kwa kasi ya mpini wa propela ya chini ya 600 rpm.
PTO
PTO - Kwa kutumia giaboksi ya Mfumo wa Kubadilisha Gia Kiotomatiki wa Scania, mfumo mpya wa PTO wenye hatua tisa tofauti za utendaji unapatikana. Kiwango cha juu cha nguvu za kuzungusha na gia nyingi vinaboresha utendaji wa jumla wa gari. Viwango vya chini vya utoaji wa kelele na matumizi ya kiwango cha chini cha mafuta ni matokeo ya uwiano wa gia wa kiwango cha juu, ambazo huruhusu kasi za chini za injini.
Giaboksi mpya ya G33 ya Mfumo wa Kubadilisha Gia Kiotomatiki wa Scania inapatikana kwa ajili ya injini zote za V8 za hadi 660 hp pamoja na injini za utoaji wa nishati ya kiwango za lita 13 za hp 500 na 540.
Gia za ekseli ya nyuma
Masafa ya ekseli ya nyuma ya Scania hutoa muundo thabiti na ulioboreshwa kwa uzito na aina mbalimbali za gia na uwiano, ili uweze kupata suluhu mwafaka kwa uendeshaji wako. Gia zote huja na kufuli vya difrensha.
Ekseli ya kuendesha hebu yenye kifaa kimoja cha kupunguza kasi
Ekseli za kuendesha hebu zenye kifaa kimoja cha kupunguza kasi zinapatikana kwa ajili ya shughuli ambazo uwezo wa kuwashwa, nafasi kati ya fremu ya gari na barabara na kiwango cha juu zaidi cha uzito wa gari unaoruhusiwa vinafaa. Hudhibiti kiwango cha juu zaidi cha uzito wa gari kinachoruhusiwa cha hadi tani 80 na uwiano wa gia wa kuanzia 3.80 hadi 7.18.
Ekseli moja ya kuendesha yenye kifaa kimoja cha kupunguza kasi
Gia zetu za kifaa kimoja cha kupunguza kasi zina kiwango cha chini cha mbano na utendaji wa kiwango cha juu na zinaweza kudhibiti kiwango cha juu zaidi cha uzito wa gari unaoruhusiwa wa hadi tani 78 na uwiano mkubwa wa gia kuanzia 1.95 hadi 5.57.
EKSELI MBILI ZA KUENDESHA ZENYE KIFAA KIMOJA CHA KUPUNGUZA KASI
Ekseli mbili za kuendesha zenye kifaa kimoja cha kupunguza kasi zinatolewa kwa shughuli ambazo unahitaji kuvuta mizigo na matumizi ya kiwango cha chini cha mafuta. Gia ya kushuka ya RB662 + R660 hudhibiti kiwango cha juu zaidi cha uzito wa gari unaoruhusiwa wa hadi tani 80 na uwiano wa gia wa kuanzia 2.92 hadi 4.88.
Ekseli mbili za kuendesha hebu zenye kifaa kimoja cha kupunguza kasi
Aina zetu nyingi za ekseli mbili za kuendesha hebu zenye kifaa kimoja cha kupunguza kasi ni thabiti na za kudumu na zinatoa huduma bora zaidi ya kuwashwa kwa injini na nafasi kubwa kati ya fremu ya gari na barabara. Hudhibiti kiwango cha juu sana cha uzito wa gari unaoruhusiwa wa hadi tani 210 na uwiano wa gia wa kuanzia 3.52 hadi 7.63.
Utendaji ulioboreshwa wa mabadiliko ya kuweka gia
Pumziko la layshaft huboresha utendaji wa kuweka gia kwa kukata muda unaohitajika ili kubadilisha gia. Pumziko la layshaft la kuweka gia ni huru kutokana na injini.
Kupunguzwa kwa muda wa ushiriki
Pumziko la layshaft hupunguza PTO na wakati wa ushiriki wa gia ya nyuma/yakutambaa na huongeza starehe ya kushiriki/uimara
Injini sikivu
Faida moja kubwa ya pumziko la layshift ni kwamba inafanya uwezekano wa kuweka injini sikivu.
Mpangilio wa ekseli
Ekseli ya mbele, nyuma, isiyozunguka na inayozunguka – Scania inaweza kutimiza mahitaji ya shughuli yoyote. Crewcab inaweza kuunganishwa na anuwai ya usanidi wa chesisi zenye urefu tofauti.
4x2
Kimo cha chesisi
Chini, kawaida, juu
4x4
Kimo cha chesisi
High
6x2
Kimo cha chesisi
Fupi, kawaida
6x2*4
Kimo cha chesisi
Fupi, kawaida
6x4
Kimo cha chesisi
Kawaida, refu
6x6
Kimo cha chesisi
High
8x4*4
Kimo cha chesisi
Kawaida
8x4 inaendeshwa na ekseli ya nyuma
Wasiliana na muuzaji wako
Tafadhali wasiliana nasi ikiwa una maswali yoyote kuhusu bidhaa au huduma zetu au shughuli nyingine zinazotekelezwa katika kampuni ya Scania.
Bidhaa zetu mbali mbali
-
-
P-mfululizo
Mfululizo wa Scania P ndio safu yetu ya kebini inayoweza kutumiwa nyingi, bora kwa shughuli za mijini na kikanda na imethibitishwa vyema kwa ujenzi na hali zingine zinazohitajika. -
Mfululizo wa G
Safu ya mfululizo wa Scania G huleta mseto mahususi wa faraja na umaridadi ndani na nje. Inatoa chaguzi za kipekee za uhifadhi na kebini kubwa. -
R-mfululizo
Hakuna ukinzani - kebini ya R tofauti kivyake ni imara lakini ni kali zaidi kuliko hapo awali. Jitayarishe kugeuza vichwa na mwili huu wa riadha ambao hufafanua upya starehe katika uchukuzi wa muda mrefu. -
Mfululizo wa S
Mfululizo wa S huongeza dau katika starehe ya madereva wa masafa marefu. Gundua mambo ya ndani ambayo ni kimbilio la starehe, yenye sakafu bapa na maeneo ya kuhifadhia yaliyopanuliwa, imeundwa kutoa nafasi kubwa ya kuishi. -
Kebini ya Crewcab
CrewCab mpya ya Scania inaweza kubeba hadi abiria wanane na inatoa unyumbufu usio na kipimo, starehe na usalama. Miongoni mwa nyongezeko mpya ni Dirisha za Scania City Safe na mfumo tofauti wa hali ya hewa kwa eneo la wafanyakazi. -
V8
Mfumo mpya wa uendeshaji wa Scania V8 huanzisha uzoefu wa ajabu wa kuendesha gari. Inapojumuishwa na giaboksi mpya ya Scania Opticruise, uokoaji wa mafuta wa hadi 6% unaweza kupatikana. -
XT
Safu ya Scania XT imeundwa kustahimili hali tofauti na mazingira yenye changamoto, ili uweze kuendesha operesheni yenye faida.