Tanzania

Ushughulikiaji wa taka

Tunakusaidia ubadilishe upendavyo malori yako ya Scania ya shughuli za ukusanyaji wa taka ili kuboresha uwezo na kurahisisha kazi yako.

Imeundwa kwa ajili ya shughuli salama na bora za ukusanyaji wa taka

Kuendesha gari katika maeneo yenye msongamano na ratiba ngumu kunahitaji gari lenye mwonekano bora, ufikiaji rahisi na wakati wa juu wa kufanya kazi. Hakuna chochote ambacho hakijashughulikiwa katika utengenezaji wa magari yetu ya mijini. Matokeo yake ni aina magari thabiti na ya kutegemea zaidi. 

Scania L 320 6x2*4 ya Kukusanya Taka

Aina zetu za teksi, L-series kwa mfano, yanakupa sehemu ya ndani yenye nafasi ndogo na vipimo vya nje.

Matumizi yanayobinafsishwa

Ukiwa na chaguo nyingi na aina nyingi za mipangilio ya muundo, unaweza kubadilisha lori lako ili lifae kwa shughuli zako. Libadilishe liwe Scania.

Suluhu za huduma

Kampuni ya Scania husaidia kuhakikisha utendaji wako kwa kutoa huduma nyingi zilizobuniwa ili kufaa kwa kazi zako mahususi. Kitu chochote ambacho kinaweza kuboresha faida yako, utapata suluhu ya huduma ya Scania inayoishughulikia, kuanzia kwa ufadhili na kupata mafunzo ya udereva na huduma za ukarabati.

Huduma dijitali

Kutoa data kunatuwezesha kuunda huduma ambazo zinaweza kukupa thamani ya moja kwa moja ya biashara. Pata maelezo kuhusu jinsi unavyoweza kutumia huduma zetu dijitali na uchukue hatua katika shirika lako.

Ukarabati na matengenezo

Tunapanga mipango ya urekebishaji inayolingana na biashara yako, kuhakikisha muda wa kufanya kazi zaidi, kuongeza tija na kupunguza usumbufu katika utendakazi wako wa kila siku.

Wasiliana nasi

Wasiliana nasi kwa njia inayokufaa, tafadhali teua chaguo lako hapa chini: 

Badilisha upendavyo lori lako kwa uwezo bora

Tumia zana yetu ya usanidi iliyo rahisi kutumia ili ubadilishe upendavyo lori lako ili kuboresha tija na ufanisi. Jenga lori lako bora! Libadilishe liwe Scania. 

Tafuta muuzaji aliyekaribu nawe

Wasiliana na wauzaji wetu walioidhinishwa ukiwa na maswali yoyote kuhusu bidhaa, huduma, au shughuli zetu katika eneo lako. Wasiliana nasi leo kwa msaada na usaidizi wa kitaalamu.