Usimamizi wa magari wa Scania
Huduma ya utambuzi
Mfumo wetu wa Usimamizi wa Magari hukupa taarifa na utambuzi mwingi zaidi kuliko ripoti za ufuatiliaji bila malipo. Kutoka kwa mahitaji ya msingi kama vile kujua lilipo gari katika muda halisi, kupitia utendakazi wa gari, ripoti za mazingira zinazofuatilia utoaji wako wa CO2, upangaji wa huduma na kuripoti kasoro hadi kwa tathmini ya madereva ambayo hukusaidia kutambua kwa haraka maboresho yanayoweza kupatikana ya matumizi ya gari ambayo yanaweza kupatikana kupitia mafunzo na mazoezi ua udereva.
Sifa na Faida
- Lango la wavuti lililo mtandaoni, linapatikana 24/7
- Liliko gari katika wakati halisi
- Utendaji wa gari
- Ripoti za mazingira
- Tathmini ya Dereva
- Wakati wa kuendesha gari
- Uzio wa kijiografia
- Mpango wa huduma
- Kuripoti kasoro
- Uwezekano wa kubinafsisha matukio na kengele
- Programu ya simu mahiri ya Android & iOS
Hebu tuzingatie data, ili uweze kuzingatia barabara
Gundua mengi zaidi
Wasiliana na muuzaji wako
Tafadhali wasiliana nasi ikiwa una maswali yoyote kuhusu bidhaa au huduma zetu au shughuli nyingine zinazotekelezwa katika kampuni ya Scania.