You seem to be located in .

Go to your Scania market site for more information.

Usafirishaji wa nje

Kwa biashara bila kikomo

Unapofanya kazi katika maeneo ya mbali yasiyo na miundombinu ya kutosha, masuluhisho mahiri zaidi yanahitajika ili kushughulikia kila kitu kuanzia kutegemewa hadi uratibu Masharti ya kuendesha gari, upakiaji na matumizi ya mafuta yote ni sehemu ya mlinganyo tunapobainisha gari linalofaa kwa pamoja. 

Yametengenezwa ili kudumu kwa muda mrefu

Katika kampuni ya Scania tunatengeneza gari lako ili lidumu kwa muda mrefu na kupunguza gharama ya jumla ya matumizi. Tunatoa aina nyingi za fremu za magari, mifumo ya kusambaza nishati na ekseli, ambayo inaweza kuwekwa ili kutimiza mahitaji yako mahususi. 

Wasiliana na muuzaji wako

Tafadhali wasiliana nasi ikiwa una maswali yoyote kuhusu bidhaa au huduma zetu au shughuli nyingine zinazotekelezwa katika kampuni ya Scania.

Ikiwa na chaguo nyingi mno na mpangilio wa mipangilio ya wastani, unaweza kuweka mipangilio inayokufaa kwenye lori lako. Ifanye iwe Scania.