Tanzania

Rejareja, utarishi wa moja kwa moja na posta

Kutoka kwa hifadhi hadi duka

Uwezo mkubwa wa kupakia

Beba zaidi, unapoenda huko na unaporudi- lengo daima ni uboreshaji kamili wa upakiaji. Lakini kwa ushindani mkali na faida ndogo, ni changamoto kubwa. Scania hutoa masuluhisho yaliyoundwa mahususi ambayo hukuletea matokeo bora kila wakati.

 

Wewe ni muhimu kwa ugavi. Na wakati mtu mwingine anasubiri kuchukua mzigo wako, huwezi kumudu kuchelewa - au kutokuwa kazini Tunajua kuwa biashara yako ni ya barabarani.  

Suluhisho za Huduma

Kampuni ya Scania husaidia kuhakikisha utendaji wako kwa kutoa huduma nyingi zilizobuniwa ili kufaa kwa kazi zako mahususi. Kitu chochote ambacho kinaweza kuboresha faida yako, utapata huduma ya kampuni ya Scania inayokishughulikia, kuanzia kwa ufadhili na kupata mafunzo ya udereva na huduma za ukarabati.

Wasiliana na muuzaji wako

Tafadhali wasiliana nasi ikiwa una maswali yoyote kuhusu bidhaa au huduma zetu au shughuli nyingine zinazotekelezwa katika kampuni ya Scania.

Pata tawi letu lililo karibu na wewe.

Ikiwa na chaguo nyingi mno na mpangilio wa mipangilio ya wastani, unaweza kuweka mipangilio inayokufaa kwenye lori lako. Ifanye iwe Scania.