Tanzania

Msituni

Magogo na ugavi wa usafirishaji

Imeundwa kwa maisha ya msituni

Wakati sekta yako inapodai kushughulikia eneo mbaya na usafirishaji wa malighafi mchana na usiku, unahitaji magari yenye uwezo unaolingana na mahitaji yako ya biashara. Tumejitolea kubinafsisha gari lako kwa ukamilifu kabisa. 

Suluhisho za Huduma

Kampuni ya Scania husaidia kuhakikisha utendaji wako kwa kutoa huduma nyingi zilizobuniwa ili kufaa kwa kazi zako mahususi. Kitu chochote ambacho kinaweza kuboresha faida yako, utapata huduma ya kampuni ya Scania inayokishughulikia, kuanzia kwa ufadhili na kupata mafunzo ya udereva na huduma za ukarabati.

Wasiliana na muuzaji wako

Tafadhali wasiliana nasi ikiwa una maswali yoyote kuhusu bidhaa au huduma zetu au shughuli nyingine zinazotekelezwa katika kampuni ya Scania.

Pata tawi letu lililo karibu na wewe.

Ikiwa na chaguo nyingi mno na mpangilio wa mipangilio ya wastani, unaweza kuweka mipangilio inayokufaa kwenye lori lako. Ifanye iwe Scania.