Tanzania

Moto na uokoaji

Kwa shughuli za moto na uokoaji

Imeundwa kwa ajili ya operesheni ya dharura

Kama wateja wetu wanaozima moto, hatuachi chochote. Hakuna hata jiwe moja ambalo limeachwa bila kugeuzwa katika uhandisi wa kizazi hiki cha magari ya kuzima moto. Matokeo yake ni safu yenye nguvu zaidi na ya kuaminika kuliko hapo awali. 

Suluhisho za Huduma

Kampuni ya Scania husaidia kuhakikisha utendaji wako kwa kutoa huduma nyingi zilizobuniwa ili kufaa kwa kazi zako mahususi. Kitu chochote ambacho kinaweza kuboresha faida yako, utapata huduma ya kampuni ya Scania inayokishughulikia, kuanzia kwa ufadhili na kupata mafunzo ya udereva na huduma za ukarabati.

Wasiliana na muuzaji wako

Tafadhali wasiliana nasi ikiwa una maswali yoyote kuhusu bidhaa au huduma zetu au shughuli nyingine zinazotekelezwa katika kampuni ya Scania.

Pata tawi letu lililo karibu na wewe.

Ikiwa na chaguo nyingi mno na mpangilio wa mipangilio ya wastani, unaweza kuweka mipangilio inayokufaa kwenye lori lako. Ifanye iwe Scania.